Kamanda katika idara ya trafiki humu nchini Mary Wangui amefutilia mbali ripoti kwamba maafisa wa trafiki hutumwa na wakubwa wao kuwaokotea hongo kutoka kwa umma akisema kuwa watakaopatikana watachukuliwa hatua kali.
https://art19.com/shows/zinga/episodes/306bcee3-e19f-4566-b47b-f93eb3cf7d1b