Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais William Ruto amezindua awamu ya pili ya mpango wa kitaifa wa kuwapiga jeki vijana kibiashara (NYOTA) katika kaunti sita zilizopo eneo la North Rift. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa…
Kiongozi huyo ameapa kuchukua tena silaha, kulinda taifa lake.
Densi za kitamaduni kutoka jamii mbali mbali ambazo mara nyingi hupamba sherehe za kitaifa leo hazikuwepo.
Serikali imeuza asilimia 15 ya hisa za Safaricom kwa kampuni ya Vodacom katika mkataba wa biashara kwa thamani ya shilingi bilioni 240.5. Hii ni sehemu ya mpango wa kufungua uwekezaji…