Waziri Ruku aitaka IEBC, kuharakisha kuandaliwa kwa chaguzi ndogo

Waziri aliongoza shughuli ya utoaji chakula cha msaada kwa familia zilizoathiriwa na mkasa wa moto eneo la Njoro.

Dismas Otuke
1 Min Read

Waziri wa utumisha wa umma Geofrey Ruku, ameitaka tume huru ya mipaka na uchaguzi nchini IEBC, kuharakisha mchakato wa kuandaa chaguzi ndogo na pia uchaguzi mkuu wa mwaka 2027.

Ruku alisema haya Jumapili katika eneo la Njoro, kaunti ya Nakuru, akishutumu upinzani kwa kile alichokitaja kutaka kutwaa uongozi kupitia njia ya mkato.

Waziri aliongoza shughuli ya utoaji chakula cha msaada kwa familia zilizoathiriwa na mkasa wa moto eneo la Njoro.

Share This Article