Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Naibu msemaji wa serikali Mwanaisha Chidzuga amesema serikali ya Rais William Ruto imejitolea kuhakikisha wakenya wanalindwa kutokana na majanga hasa mafuriko. Akiongea na Radio Taifa, Chidzunga amesema serikali imeweka mikakati…