Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mabingwa wa Olimpiki Faith Kipyegon na Beatrice Chebet wamefungua msimu wa Diamond League kwa mikogo wakisajili ushindi na muda wa kasi ulimwenguni katika mkondo wa Xiamen nchini China leo. Chebet…