Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wydad Casablanca wamestahimili shinikizo kali kutoka kwa wenyeji Esperance Sportive du Tunis, na kuwa timu ya kwanza kufuzu kwa fainali ya makala ya kwanza ya Ligi ya soka Afrika, AFL…