Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Bingwa mtetezi wa dunia wa mashindano ya WRC Kalle Rovanpera wa Toyota Gazoo amesajili ushindi wake wa pili katika mkondo wa tatu wa msimu uliokamilika Jumapili jioni katika kituo cha…