Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mradi wenye utata wa matumizi ya crypto Worldcoin unafanya mazungumzo ya kina ili kurejesha shughuli zake nchini Kenya, zaidi ya miezi minne baada ya mamlaka hiyo kusimamisha shughuli zake nchini…