Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Asilimia 96 ya Wakenya walioambukizwa ugonjwa wa UKIMWI wanaendelea kutumia tembe ikiwa ni suala la kuvutia katika juhudi za kukabili maambukizi. Waziri wa Afya Susan Nakhumicha aliongoza taifa kuadhimisha Siku…