Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka amesema kwamba kama viongozi wa upinzani, wataendelea kukosoa serikali ya Kenya Kwanza. Hata hivyo alifafanua kwamba hawatatumia vurugu kufanya hivyo bali watafanya hivy…