Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Idara ya mahakama siku ya Jumanne, ilimuomboleza hakimu mwandamizi wa Mahakama ya Makadara Monica Kivuti, aliyeuawa kwa kupigwa risasi wiki iliyopita akiwa kazini. Katika kaunti ya Nairobi Jaji Mkuu Martha…