Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Willy Paul au ukipenda Willy Pozee amekanusha madai kwamba aliuza hakimiliki za muziki wake wote na akatumia pesa alizopata vibaya. Mwanamuziki huyo alikanusha madai hayo kwenye video aliyochapisha kwenye akaunti…