Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Naibu Gavana wa kaunti ya Siaya William Oduol amekwepa shoka la kutimuliwa kwenye wadhifa wake. Hii ni baada ya Maseneta kupiga kura kupinga ripoti ya kamati maalum iliyokuwa imependekeza kutimuliwa…