Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kenya na Mpango wa Chakula Duniani (WFP) zimeahidi kuboresha ushirikiano katika sekta za kilimo na mifugo katika hatua inayolenga kuongeza faida kwa wakulima. Hii ni kwa kuhakikisha wakulima wanapata masoko…