Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mtihani wa kitaifa wa utathmini wa gredi ya sita KPSEA unaanza leo asubuhi na unahusisha wanafunzi milioni 1.3 waliosajiliwa. Waziri wa elimu Julius Migos Ogamba alisimamia shughuli ya kusambaza karatasi…