Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mbunge wa Westlands Tim Wanyonyi amejitosa kwenye kinyang'anyirio cha Uenyekiti wa chama cha Orange Democratic movement(ODM) katika kaunti ya Nairobi. Akizungumza jana katika kanisa la Africa Inland Church wadi ya…