Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kaunti ya Pokot Magharibi imepanga kushirikisha wafugaji katika kukuza mbinu bora za kilimo ili kuhakikisha upatikanaji wa malisho ya kuaminika kwa mifugo wao kupitia utoaji wa miche na kujenga uwezo…