Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Maafisa wa upeleleze wa makosa ya jinai DCI, wamemtia nguvuni mshukiwa mwingine kwenye mauaji ya aliyekuwa mfanyakazi wa kampuni ya Wells Fargo Willis Ayieko Onyango. Kulingana na idara hiyo kupitia…