Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Jumuiya ya Afrika Mashariki, EAC imeendelea kuadhimisha juma la kusherehekea mafanikio yaliyoafikiwa tangu umoja huo kuanza. Waziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, maeneo kame na maendeleo ya kikanda nchini Penina…