Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kiongozi wa muungano wa Azimio Raila Odinga sasa anawataka Mawaziri Davis Chirchir wa Nishati na Prof. Njuguna Ndung'u wa Fedha kujiuzulu na kushtakiwa. Kiini cha wito wake ni utata unaozingira…