Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Waziri wa Afya Susan Nakhumicha jana Jumatano usiku alifanya ziara ya kushtukiza katika hospitali ya kitaifa ya rufaa ya Kenyatta, KNH ili kutathmini utendakazi wake. Wakati wa ziara hiyo iliyodumu…