Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Waziri wa Uchukuzi Kipchumba Murkomen ametoa wito kwa madereva kuzingatia kanuni za usalama barabarani ili kuepusha kutokea kwa ajali wakati huu wa msimu wa Krismasi. Murkomen hasa amewataka madereva kuhakikisha…