Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wizara ya Uwekezaji, Biashata na Viwanda itatekeleza jukumu muhimu katika kuchochea ukuaji wa uchumi wa nchi hii. Waziri Rebecca Miano anasema wizara hiyo inalenga kuchangia asilimia 15 ya Pato Ghafi…