Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Ni afueni kwa wanafunzi waliofanya mtihani wa kidato cha nne, KCSE mwaka jana baada ya serikali kuongeza muda wa kutuma maombi ya kujiunga na vyuo vikuu na vyuo nchini. Muda…