Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Utafiti wa hivi punde uliofanywa na kampuni ya TIFA unaonyesha kuwa Wakenya wengi wanataka Waziri wa Usalama wa Taifa Prof. Kithure Kindiki kutajwa kama Naibu Rais ikiwa Rigathi Gachagua ataondolewa…