Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Hamna haja ya wakazi wa Mandera kuhofia usalama wao kutokana na visa vya hivi karibuni kwenye mpaka wa Kenya na Somalia. Waziri wa Usalama wa Taifa Kipchumba Murkomen amewahakikishia wakazi…