Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Waziri wa Usalama wa Kitaifa Prof. Kithure Kindiki ameelezea masharti kadhaa yanayopaswa kuzingatiwa na waandamanaji wakati wa maandamano ya kupinga Mswada wa Fedha 2024. Waandamanaji hasa vijana wanaofahamika kama Gen…