Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Waziri wa Utumishi wa Umma Geoffrey Ruku amesisitiza umuhimu wa watumishi wa umma nchini Kenya kudumisha viwango vya juu vya taaluma na uadilifu kazini. Amewataka maafisa wote wa serikali kufika…