Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Waziri wa Elimu Ezekiel Machogu amewataka wazazi na walezi kuwa katika mstari wa mbele kutoa ushauri kwa wanao wakati huu wa msimu wa Krismasi. Visa vya utovu wa nidhamu hushamiri…