Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Waziri wa Leba Florence Bore ameimarisha jitihada za kuwatafutia vijana wa humu nchini ajira katika mataifa ya kigeni. Ukosefu wa ajira umetajwa kuwa swala nyeti humu nchini, na umechangia vijana…