Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) imewaonya vikali wawakilishi wadi na baadhi ya wafanyakazi wa mabunge ya kaunti dhidi ya kulazimisha utoaji wa kandarasi kinyume cha sheria. Mkurugenzi…