Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Ni afueni kwa watoto wengi wanaoishi na ulemavu baada ya kuzinduliwa kwa mpango wa kufadhili masomo yao kote nchini. Waziri wa Elimu Julius Ogamba aliongoza uzinduzi wa mpango wa INUKA…