Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wakenya 601, 539 wanaostahiki kusajiliwa chini ya mpango wa Inua Jamii walisajiliwa na serikali kufikia leo Jumatatu asubuhi. Mpango huo unalenga kuwasajili wazee, watoto mayatima, watoto wasiojiweza na watu wanaoishi…