Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Serikali ya kaunti ya Busia imekabidhi ekari moja ya ardhi kwa Kituo cha Ushirikiano wa Jinsia na Maendeleo (CCGD). CCGD ambalo ni shirika lisilokuwa la serikali linatarajiwa kujenga kwenye ardhi…