Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Hatimaye siku 40 zilitimia kufuatia kukamatwa kwa washukiwa wawili sugu wa wizi wa mabavu katika kaunti ya Kisumu. Wawili hao wamekuwa wakisakwa na polisi kwa muda. Kwa mujibu wa Idara…