Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka barani Afrika wamekubaliana kuwa mstari wa mbele katika kutafuta suluhisho endelevu kwa janga la tabia nchi. Viongozi hao wamesema kuwa mabadiliko ya tabia nchi…