Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wakulima humu nchini wametakiwa kuwa waangalifu wanaponunua mbegu ya mahindi wakati huu wa upanzi. Wataalamu wa kilimo wameonya kuwa biashara haramu ya mbegu ghushi inatishia pakubwa uzalishaji wa zao la…