Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Spika wa Bunge la Taifa Moses Wetang’ula anasema Kenya inapaswa kufanywa kuwa thabiti kiuchumi ikiwa ni pamoja na kwa kutumia fedha zinazotumwa kutoka ughaibuni. Wetang’ula amewataka Wakenya hasa wanaoishi nchini…