Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wakazi wa eneo la kaskazini mwa nchi hawatahitaji kamwe kufanyiwa ukaguzi zaidi kabla ya kupewa nyaraka za utambulisho wa kitaifa. Hii ni baada ya Rais William Ruto kutia saini amri ya…