Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Utawala wa kijeshi Niger umebatilisha sheria ya kudhibiti uhamiaji nchini humo ambayo iliharamisha kusafirishwa kwa wahamiaji kupitia nchi hiyo. Utawala huo ilitangaza kufuta sheria hiyo katika taarifa yake, ukibainisha kuwa…