Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) imewashtaki mahakamani maafisa watatu wa utumishi wa umma kuhusiana ma mashtaka mbalimbali yanayohusiana na kughushi vyeti vya masomo. Hii ni baada ya…