Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Chansela wa Ujerumani Olaf Scholz na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky, watashiriki mazungumzo Ijumaa Jijini Frankfurt, haya ni kulingana msemaji wa serikali ya Ujerumani. Mkutano huo wa ana kwa ana,…