Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Chuo Kikuu cha Kenyatta, KU kimesimamisha masomo kwa muda wa siku tatu ili kutoa fursa ya kuomboleza wanafunzi waliofariki katika ajali ya barabarani Jumatatu usiku. Katika taarifa siku ya Jumanne,…