Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Bunge la Taifa litarejelea vikao vyake leo Jumanne alasiri baada ya kumaliza mapumziko yake yaliyoanza mapema mwezi Disemba mwaka jana. Bunge hilo linarejea vikao hivyo wakati ambapo Mahakama Kuu imetoa…