Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Baraza la Kitaifa la Viazi nchini Kenya (NPCK) limeongeza juhudi za kuandaa, kupanga na kuratibu mnyororo wa thamani wa viazi kwa wakulima wadogo katika Kaunti ya Nyandarua, kwa kulenga sana…