Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Waziri wa Utumishi wa Umma Geoffrey Ruku, ametangaza mikakati kabambe inayolenga kulainisha taratibu za ununuzi katika Huduma ya Taifa kwa Vijana (NYS). Waziri huyo aliyasema hayo leo Ijumaa afisini mwake…