Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mchakato wa kusaili mawaziri 21 wateule ili kubaini ufaafu wao katika kuhudumu katika Baraza Jipya la Mawaziri unaanza leo Alhamisi. Mchakato huo utaendeshwa kwa siku nne na utamalizika Agosti 4,…