Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Viongozi wa upinzani sasa wanasema dhamira yao ya kuja pamoja ni kuifanya Kenya kuwa mahali salama pa kila mtu kuishi. Wanasema watalifikia hili kwa kuwakiliza Wakenya katika utekelezaji wa sera…