Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Umoja wa Mataifa umeilaumu Israel kwa kusababisha uharibifu wa kiwango cha juu katika kambi ya wakimbizi ya Jenin huko West Bank ambapo wanajeshi wa Israel wanaendeleza mashambulizi. Madhambulizi hayo yamesababisha…