Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Chama tawala cha United Democratic Alliance - UDA na Orange Democratic Movement -ODM vimefikia makubaliano ya kugawana maeneo ya kisiasa kabla ya chaguzi ndogo zijazo, hatua muhimu katika kuimarisha ushirikiano…